News

 • EQUINOX

  Leo tarehe 21 mwezi March katika elimu ya Jiografia ni kwamba Jua lipo katika mstari wa Ikweta ambao unaigawa dunia katika sehemu mbili yaani *hemispheres* kwa maana ya upande wa Kakazini na Kusini ... *Northern Hemisphere* and *Southern... Read More

 • TANZIA Kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma

  Serikali ya wanafunzi ( UDOSO- CNMS), inasikitika kutangaza kifo cha aliekua mwanafunzi wa chuoni hapo HAPPINESS F MBONDE mwenye namba ya usajili T/ UDOM/2018/ 10100, Diploma in forest, mwaka wa kwanza kilichotokea 18/03/2019 nyumbani kwao... Read More

 • KIJANA MTANZANIA APATA TUZO YA UBUNIFU WA MAVAZI

  Dar es Salaam Mbunifu wa mavazi kutoka Tanzania Rahma Bajun amepokea tuzo ya utambuzi kutoka “Arab and African Youth Platform” Jijini Aswan nchini Misri mapema siku ya (17 Machi 2019) huku akipokea sifa lukuki kutoka kwa ... Read More

 • JUKWAA LA VIJANA MOROGORO

  Jumamosi ya tarehe 23 mwezi wa tatu mwaka huu Kunatarajiwa kufanyika jukwaa la vijana Morogoro. Kuanzia saa mbili kamili asubuhi na kuendelea , katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Kiislamu- Morogoro Kauli mbiu ni "FURSA ZETU MKOA WETU" Mgeni... Read More

 • UTEUZI WAKUU WA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM)

  Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa ameteua viongozi wa Chuo Kikuu hicho kama ifuatavyo: Prof. Faustine Karrani Bee, kuwa Makamu Mkuu wa Chuo. Kwa sasa yeye ni Mkuuwa Chuo Kikuu cha Ushirika, Moshi Prof.... Read More