DAWA YA UKIMWI YAGUNDULIKA

Campus Admin 2019-03-05 16:55:08 Current affair

London, Uingereza. Juhudi za kusaka dawa ya Ukimwi zimeanza kutoa dalili njema baada ya mtu aliyekuwa akiugua ugonjwa huo kudaiwa kupona, wataalamu wa afya wamethibitisha. Hatua hiyo inakuja baada ya majaribio kadhaa ikiwamo tulkio la kwa wataalamu hao waliokuwa wakiendesha utafiti wanajipanga kuchapisha rasmi utafiti wao katika jarida la Natur Ni kwa zaidi ya miaka 12 sasa watafiti mbalimbali ulimwenguni wamekuwa wakifanya utafiti wa kupatikana dawa ya Ukimwi lakini Wameshindwa Source: Mwananchi