KUPATA NAMBA YA KITAMBULISHO CHA TAIFA (NIN)

Campus Admin 2019-03-11 23:07:48 Current affair

MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA (NIDA) Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), inapenda kuwataarifu wananchi wote kuwa huduma ya kupata Namba ya Kitambulisho cha Taifa (NIN), inaweza kufanyika kwa kutumia simu ya mkononi Kupata Huduma hii, 1. Piga 152*00 2. Chagua namba 3 (Ajira na Utambuzi) 3. Chagua namba 2 (NIDA) 4. Ingiza Maijina yako matatu (3) ullyojisajilia (Mf. Dan John Sele) 5. Ingiza namba ya simu uliyojaza kwenye fomu ya maombi (Mf. OXX00) 6. Kubali Huduma hii kwa sasa inapatikana kwa watumiaji wa Airtel na Vodacom. Kwa mawasiliano zaidi: Piga simu: 0759 102010/ 0765 01020 0673 33 Barua pepe: nida.tanzania@nida.go.tz Tovuti: nida.go.tz Imetolewa na: Kitengo cha Mawasiliano na Hifadhi Hati, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).