Ummy Mwalimu kuongoza matembezi ya hisani yaAmref

Campus Admin 2019-06-11 17:44:57 Campus News

Shirika la Amref Tanzania linapenda kuhamasisha waTanzania wote kuungana na Amref Tanzania na Maelfu ya washiriki katika matembezi ya HISANI.\r\n\r\n Matembezi yatakayoongozwa na Mhe. Ummy Mwalimu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto.\r\n\r\nKatika siku ya Jumamosi 29.Juni.2019 DSM, Saa 12 Asubuhi.\r\n\r\nLengo la matembezi haya ni kuwezesha UWEPO WA WAKUNGA KWA UZAZI SALAMA.\r\n\r\n Ili Kupata tiketi na sare ya matembezi jiandikishe leo kupitia https://form.myjotform.com/Amref/2019SU4AM-registration-form na lipia *25,000/=* tu kupitia M-PESA namba 0762223348. Kwa maelezo zaidi piga NO 0759028817 / 0713801682.