Good Boy 2017-08-22 00:19:43 Business

Kila mwanafunzi hutamani kuwa karibu na fursa.... Je kwa namba mambo yaendavyo kwa sasa, unaweza kuwa karibu na fursa bila kuwa karibu na mitandao ya kijamii...?

 • User Avatar
  ISRAEL JOEL

  vijana wa kitanzania inatubidi kuwa karibu zaidi na fursa hizi na hivyo yatupasa kuzingatia njiainayotumika kupatikana hizo taarifa za fursa. Lakini pia inatupaa kujifunza zaidi juu ya utumiaji fasaha wa mitandao husika ili tuendane na kinachotakiwa. p

  2018-01-03 04:32:37
 • User Avatar
  Hosiana kibona

  Ni vigumu. Mitandao ya kijamii ni zaidi ya vyombo vya habari

  2017-11-07 13:15:42
 • User Avatar
  Mohamed Hamidu

  ni ngumu sana kwani kwa kipindi hiki ndio inayotumuika katika mambo mengi ya kijamii!

  2017-10-24 14:50:53
 • User Avatar
  Good Boy

  Kwa sasa fursa nyingi hupitia mitandao ya kijamii

  2017-08-22 00:56:13